Skip to main content
Skip to main content

Huenda kukafanyika mabadiliko katika baraza la mawaziri yanayolenga kumuingiza Gideon Moi serikalini

  • | NTV Video
    15,906 views
    Duration: 6:12
    NTV imebaini kwamba huenda kukafanyika mabadiliko mengine katika baraza la mawaziri yanayolenga kumuingiza kiongozi wa chama cha KANU Gideon Moi katika serikali jumuishi inayoongozwa na Rais William Ruto. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya