Skip to main content
Skip to main content

Upinzani watia doa usajili unaoendelea wa wapigaji kura

  • | KBC Video
    157 views
    Duration: 3:45
    Pilka pilka za kisiasa ziliendelea leo huku viongozi wa kisiasa wakidai kuwepo kwa njama ya tume ya IEBC ya kuwasajili watu wasiokuwa wakenya kuwa wapiga kura kwenye shughuli hiyo inayoendelea.Kulingana na viongozi hao, hatua hiyo inakusudiwa kufanya udanganyifu kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027.Wakati uo huo, waziri wa utumishi wa umma,Geoffrey Ruku ameishutumu upinzani kwa madai ya kuwahujumu viongozi waliochaguliwa wakati wa mkutano uliofanyika jana Embu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive