Skip to main content
Skip to main content

Kanisa lahimizwa kutoegemea upande wowote

  • | KBC Video
    52 views
    Duration: 2:52
    Viongozi wa kidini katika kaunti ndogo ya Matungulu huko Machakos wametoa wito kwa makanisa kutoegemea upande wowote, huku tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC ikiendeleza shughuli ya kitaifa ya usajili wa wapigaji kura. Akizungumza wakati wa ibada iliyoandaliwa eneo la Matungulu Mashariki, Father Seraphim anayesimamia kanisa la Coptic Orthodox parokia ya Tala, alikariri haja ya kulinda madhabahu ya kanisa na kuonya dhidi ya kugeuza maeneo ya kuabudu kuwa jukwaa la siasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive