- 96 viewsDuration: 2:35Shughuli ya kuwasajili makurutu wa jeshi la ulinzi la Kenya kote nchini inatarajiwa kuanza kesho huku maelfu ya vijana wakitarajiwa kujitokeza. Jeshi limetangaza kwamba litawasajili takriban makurutu elfu 10 kutoka kaunti zote 47. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive