Skip to main content
Skip to main content

Mwili mmoja waokolewa bahari hindi kufuatia mkasa uliotokea wakati wa shindano la boti

  • | KBC Video
    271 views
    Duration: 1:40
    Mwili mmoja umeopolewa kutoka kwenye bahari hindi kufuatia ule mkasa wa Ijumaa huko Turdo uliotokea wakati wa shindano la Boti. Naibu Rais aliyezuru eneo hilo la mkasa aliahidi usadizi wa serikali kwa familia zilizoathiriwa, na ushauri nasaha kwa waathiriwa wengine 19 waliookolewa kufuatia ajali hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive