Michezo ya majini imezidi kupata umaarufu nchini China, huku watu wengi wakikimbilia shughuli kama vile kupiga makasia na kuendesha jahazi ili kujiburudisha na kupunguza joto kali la majira ya kiangazi, wakigeuza bahari na maziwa kuwa vituo vya burudani. Zakia Pang na taslifu kamili Kwenye Makala ya ifahamu china kutoka Beijing
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive