- 98 viewsDuration: 1:30Juhudi za kuendeleza elimu ya mtoto wa kike katika Kaunti ya Samburu zinaendelea kushika kasi, huku maafisa wa serikali na mashirika mbalimbali wakihimiza jamii kuwapa wasichana fursa sawa ya kupata elimu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive