Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Meru yaweka mikakati kukabili tisho la saratani ya titi

  • | KBC Video
    25 views
    Duration: 1:29
    Serikali ya Kaunti ya Meru imeimarisha juhudi za kukabiliana na ongezeko la visa vya saratani kupitia uhamasishaji, uchunguzi wa mapema, na matibabu wakati huu ulimwengu unapoadhimisha Mwezi wa Uhamasishaji Kuhusu Saratani ya titi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive