Skip to main content
Skip to main content

Miili mitatu yaopolewa kufuatia ajali ya mashua Mombasa

  • | KBC Video
    93 views
    Duration: 2:18
    Mili mitatu ya watu waliotoweka kufuatia ajali iliyotokea wakati wa mashindano ya mashua katika kijito cha Tudor imeopolewa. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri wakati mashua ya mashindano iliyokuwa imebeba washiriki 22 ilipozama na kusababisha oparesheni kubwa ya uokoaji iliyofanikiwa kuwanusuru watu 19. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive