Waziri wa afya, Aden Duale, amekiri kuwa watoto kadha walifariki kutokana na mgomo wa madaktari katika Kaunti ya Kiambu. Duale anatoa wito kwa serikali ya kaunti kushughulikia mallamishi ya madaktari wanaogoma. Na huku, Gavana Kimani Wamatangi akihusisha mgomo huo na wapinzani wake wa kisiasa, chama cha madaktari kimetishia kupanua mgomo huo kuwa wa kitaifa ili kutetea maslahi ya wanachama wake kote nchini. Kamche Menza na taarifa kamili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive