Skip to main content
Skip to main content

Chuo cha Kipsoen chajiandaa kupandishwa hadhi kitaifa

  • | TV 47
    18 views
    Duration: 2:27
    Chuo cha Kipsoen chajiandaa kupandishwa hadhi kitaifa. Changamoto ya malazi kwa wanafunzi yazua wasiwasi. Idadi ya wanafunzi inatarajiwa kufikia 10,000. Kwa sasa chuo kina wanafunzi zaidi ya 4,000. Mradi wa nyumba za bei nafuu kusaidia wanafunzi. Mbunge Kipsanai asema mradi utapunguza msongamano. Mwalimu Mkuu Joseph Bitok aunga mkono mpango huo. Ujenzi wa hosteli utakamilika mwaka ujao. Wakazi waombwa kushirikiana na chuo kwa maendeleo. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __