Skip to main content
Skip to main content

Waziri Duale ajibizana vikali na mbunge Kibagendi kuhusu usimamizi wa SHA

  • | KBC Video
    436 views
    Duration: 4:40
    KIZUNGUMKUTI CHA SHA Waziri Duale ajibizana vikali na wabunge kuhusu usimamizi wa SHA Wabunge walilalamikia usimamizi duni na ukosefu wa uwazi Duale alidai wabunge hawakuwa wakweli Duale alidai vituo vya afya mbunge Kibagendi vilifungwa kutokana na ulaghai Duale alitakiwa kufafanua kuhusu hitilafu zinazozonga mfumo huo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive