Mamia ya Wakenya walijitokeza kwa siku ya pili ya shughuli ya kuwasajili makurutu wa kijeshi kote nchini ambapo jeshi la taifa linanuia kuwasajili vijana 10,000 kufikia siku ya Jumapili, tarehe 26 mwezi huu. Jeshi hilo linalenga kusajili makurutu katika nafasi mbali mbali wakiwemo wale wa vitengo maalum.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive