Skip to main content
Skip to main content

Cardi B ametangaza kwamba anatarajia kupata mtoto wake wa nne katika mahojiano ya kipekee na CBS.

  • | BBC Swahili
    4,226 views
    Duration: 47s
    Cardi B ametangaza kwamba anatarajia kupata mtoto wake wa nne katika mahojiano ya kipekee na CBS. Huyu atakuwa mtoto wa kwanza wa rapa huyo na mpenzi wake Stefon Diggs, mchezaji wa mpira wa miguu wa Marekani anayesifika kama ‘wide receiver’. Cardi B amesema anajisikia mwenye furaha kwa ajili ya mtoto wake, ambaye anatarajiwa kuzaliwa kabla ya kuanza kwa ziara yake ya kwanza, mwezi Februari 2026. - - #bbcswahili #burudani #marekani