- 384 viewsDuration: 1:15Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi EACC imeilaumu Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma ODPP kwa kuwa kikwazo katika vita dhidi ya ufisadi husuan katika kesi zinazohushisha serikali za Kaunti. EACC ilitoa taarifa hiyo mbele ya Kamati ya Seneti ya uhasibu wa umma hii leo ambapo tume hiyo ilielezea kuwa kesi 18 za kaunti zilitupiliwa mbali na ODPP kati ya mwaka 2013 na 2025.