- 13,589 viewsDuration: 1:02Kiongozi wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amehutubia mkutano mkuuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York. Hotuba yake imetoa wito wa kuongezwa juhudi za kumaliza mapigano huko Gaza. @RoncliffeOdit anaangazia hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wetu wa YouTube BBC News Swahili. - - #bbcswahili #palestina #newyork #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw