- 65,103 viewsDuration: 1:32Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, anakumbana na tishio la kuondolewa madarakani huku kukiwa na taarifa kwamba amekimbia nchi. Ripoti za awali zinaonyesha kuwa Rajoelina aliondoka Antananarivo kwa ndege ya kijeshi ya Ufaransa. Je amaeelekea wapi na nini kinaendelea Madascar kwa sasa? Sammy Awami anaelezea #bbcswahili #madagascar #AndryRajoelina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw