- 1,639 viewsDuration: 1:30Kasisi kutoka parokia ya Mugango kaunti ya Bomet kwa jina John Paul hapo jana alifikishwa katika mahakama ya Bomet kujibu mashtaka ya kumdhulumu mwanafunzi wa gredi 8 mwenye umri wa miaka 14 akiwa na mama wa kijana huyo kama mshtakiwa mwenza...