Skip to main content
Skip to main content

Kitengo cha ulinzi wa mashahidi chakana kumtelekeza mwanablogu

  • | Citizen TV
    361 views
    Duration: 3:58
    kitengo cha ulinzi wa mashahidi nchini kimekana madai ya kumtelekeza mwanablogu anayedai kutekwa nyara na kisha kulawitiwa. Kulingana na idara hiyo, mwanablogu huyo alivunja baadhi ya masharti mara tatu ikiwemo kukusanya pesa akidai mzazi wake amefariki na kutumia mitandao ya kijamii kiholela, kinyume na masharti ya ulinzi.