19,514 views
Duration: 2:07
kumeibua swali ikiwa wimbi hili linamaanisha zama mpya za kisiasa barani Afrika, Lakini wimbi hili litazigusa pia nchi zingine kama Uganda, zinazotarajiwa kuwa na uchaguzi mkuu hivi karibuni?
Mwandishi wa BBC @Sammyawami anaangazia baadhi ya nchi ambazo tayari zimepitiwa na upepo huu mpya wa kisiasa Afrika.
🎥: @frankmavura
-
-
#bbcswahili #afrika #siasa
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw