Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini Museveni anataka achaguliwe tena Uganda?

  • | BBC Swahili
    3,222 views
    Duration: 2:57
    Rais Yoweri Museveni, ameteuliwa rasmi na Tume ya Uchaguzi ya Uganda kugombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Januari mwaka ujao. Kiongozi huyo ambaye ameingoza Uganda kwa karibu miongo minne, sasa atakuwa akiwinda kuchaguliwa kwa muhula wa saba madarakani. #dirayaduniatv