- 1,560 viewsDuration: 2:11Kuanzia virutubisho vya unga hadi vidonge, virutubisho viko kila mahali. - Vinauzwa kama suluhu za haraka za changamoto za afya, zikisaidia mambo mbalimbali ya afya. - Ingawa hutumikia kusudi kwa ajili ya hali fulani lakini mara nyingi haielekezwi. Na watu wengi hawajui hatari wala mapungufu, yalivyo nyuma ya chapa ya bidhaa hizo. - @elizabethikazibure anaelezea Mambo 5 unayopaswa kufahamu kuhusu virutubisho kabla ya kuvitumia - - - #bbcswahili #afya #virutubisho #omega3 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw