- 472 viewsDuration: 2:43Gharama ya matibabu imekuwa mzigo mzito kwa wanaougua maradhi sugu nchini. Mwaka mmoja tangu bima ya sha kuanza kutumiwa, baadhi ya wagonjwa wanakiri kupunguziwa mzigo. Hata hivyo wanalalamikia hitilafu za mara kwa mara ambazo bado ni kikwazo kikubwa. Uhaba wa dawa na gharama ya kusafiri kutafuta matibabu zimesalia changamoto kwa wanaoishi mashinani.