- 870 viewsDuration: 2:57Serikali ya Kenya Kwanza iliingia mamlakani huku ikiwa imetoa ahadi kadhaa kwa wananchi, ikiwemo utekelezaji wa huduma za afya kwa wote. Miaka mitatu baadaye, serikali ya Rais William Ruto inakabiliana na changamoto za utekelezaji wa Mamlaka ya Afya ya Kijamii, inayosimamia hazina ya afya ya umma nchini.