- 12,311 viewsDuration: 4:49Chama cha ACT Wazalendo kimesema uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania wa kumuengua mgombea wake wa kiti cha urais Luhaga Joelson Mpina, haukuzingatia misingi ya sheria, hivyo chama hicho hakikutendewa haki. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw