- 7,872 viewsDuration: 3:26Maafisa wa Marekani wamethibitisha kukamatwa kwa mshukiwa wa tukio la kupigwa risasi kwa mwanaharakati wa mrengo wa kulia, Charlie Kirk. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw