Skip to main content
Skip to main content

Ndugu zake Raila watoa kumbukumbu za maisha yake nje ya siasa

  • | KBC Video
    128 views
    Duration: 2:10
    Huku wakenya wakiendelea kutoa heshima zao kwa marehemu waziri mkuu wa zamani Raila odinga kwa mchango wake katika ulingo wa siasa wa humu nchini na ndoto yake ya umoja wa bara Afrika, ndugu zake watamkumbuka kama ndugu aliyezingatia nguzo kuu ya familia ya Odinga. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive