Skip to main content
Skip to main content

Raila yu buheri wa afya, asema Kindiki

  • | KBC Video
    29,371 views
    Duration: 3:06
    Serikali inajitahidi kukamilisha miradi ya maendeleo kote nchini ili kuhakikisha ukuaji wa haraka wa uchumi wa taifa na kuboresha maisha ya wananchi. Naibu rais profesa Kithure Kindiki, ametahadharisha kuwa serikali haina nafasi ya kuchelewesha mradi hiyo, akitoa wito kwa wanakandarasi kuharakisha kuikamilisha. Naibu Rais pia aliwasuta viongozi wa upinzani kwa kuingiza siasa katika suala la afya ya kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement Raila Odinga. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive