- 43,891 viewsDuration: 1:54Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mke wake Brigitte wanapanga kuwasilisha ushahidi wa picha na wa kisayansi katika mahakama ya Marekani ili kuthibitisha kuwa Bi. Macron ni mwanamke. Je kwanini wamefikia hatua hii? @sammyawami anaelezea zaidi - - #bbcswahili #macron #ufaransa #uongozi