Skip to main content
Skip to main content

Tundu Lissu arejeshwa kizuizini. Je, atafaulu kesi ya uhaini?

  • | BBC Swahili
    15,282 views
    Duration: 7:24
    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu amemuwekea pingamizi shahidi wa jamuhuri kutumia kizimba cha siri ndani ya mahakama kuu jijini Dar es Salaam. Lissu ameteta kwamba kizimba hicho kinamficha shahidi huyo kiasi cha kutoonekana hata na majaji wanaoendesha kesi hiyo, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. #DiraYaDuniaTV