Skip to main content
Skip to main content

Uwanja wa Ithookwe wakabidhiwa kwa Kamati andalizi ya sherehe za Mashujaa

  • | KBC Video
    204 views
    Duration: 1:36
    Uwanja wa Ithookwe uliojengwa hivi majuzi katika Kaunti ya Kitui, ambapo madhimisho ya Sikukuu ya Mashujaa mwaka huu yataandaliwa, umekabidhiwa kwa Kamati andalizi ya sherehe za kitaifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive