- 267 viewsDuration: 3:23Wakaazi wa Sese Mpeketoni kaunti ya Lamu wamelazimika kugeukia kilimo cha kufuga nyuki wapate asali kutokana na mimea ya Mahindi,maembe kuvamiwa na wanyama pori jambo ambalo limepelekea kukosekana kwa mazao.Aidha Wito umetolewa kwa wakulima hao kujiunga na vyama vya ushirika ili kudhibiti mfumko wa bei.