- 8,606 viewsDuration: 1:49Ndoa ya msanii wa maigizo, na Seneta, ilitikisha mitandao ya kijamii juma lililopita huko Nigeria, na hata hapa Afrika mashariki. Wawili hawa, wamezungumziwa sana mtandao mwishoni mwa juma, hasa baada ya video ambayo imesambaa mitandaoni ikimuonesha Regina akiomba msaada kwa kuwa anapitia unyanyasaji katika ndoa yake na Seneta Ned Nwoko. @Leila Mohammed anatusimulia mkasa huu #bbcswahili #wasanii #foryou #nigeria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw