Ajali ya Kariakoo: 'Kila walipogusa ule udongo tulikuwa tunatikitia kama shimo'

  • | BBC Swahili
    1,390 views
    Manusura wa mkasa wa kuporomoka kwa jengo la ghorofa kwenye soko la kimataifa la Kariakoo Jijini Dar Es salaam nchini Tanzania wanasema haikuwa rahisi licha ya kuwa walikuwa wanasikia vishindo vya waokoaji. Baadhi yao walikuwa wakiwasiliana kwa simu na ndugu na jamaa zao wakiomba msaada pamoja na kuwaelekeza ni wapi hasa walipo chini ya jengo hilo na ni kwa njia ipi wangeweza kufikiwa kirahisi. Jengo hilo la ghorofa tatu liliporomoka Novemba 16, 2024 majira ya asubuhi - - 📹 @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #kariakoo #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw