| MWANAMKE BOMBA | Mwanaharakati wa haki za wanawake Nice Nailantei

  • | Citizen TV
    327 views

    Huku ukeketaji na Ndoa za mapema zikiwa Bado ni changamoto Kwa mtoto wa kike katika kaunti ya Kajiado, Nice Nailantei ni mmoja wa wanawake katika kaunti hiyo ambao wamejitolea kuwalinda wasichana dhidi ya dhuluma hizo. Nice ambaye alinusurika ukeketaji na kuozwa mapema, sasa anasaidia kuwalinda wasichana ambao wako kwenye hatari ya kupitia dhuluma hizo. Hebu tusikilize Simulizi yake wakati huu ambapo ulimwengu unaadhimisha siku 16 za kutoa hamasisho dhidi ya dhulma za kijinsia