Biden asisitiza ahadi ya Marekani kuimarisha uhusiano na bara la Afrika

  • | VOA Swahili
    614 views
    Biden aelezea umuhimu wa kihistoria wa ziara yake wakati akiongea mjini Luanda Jumanne Rais Joe Biden wa Marekani akiwa katika ziara ya siku mbili nchini Angola kwa mazungumzo na mwenyeji wake Rais Joao Lourenco, juu ya ushirikiano wa kibiashara na uchumi amesisitiza juu ya uwekezaji mkubwa wa Marekani katika nchi hiyo na kanda nzima ya Kusini mwa Afrika. ⁣ Rais Biden alieleza kwa kirefu fahari yake kuwa rais wa kwanza wa Marekani kuitembelea Angola. ⁣Sikiliza ujumbe wake kwa Afrika: #joebiden #joaolourenco #angola #diplomacy #whitehouse #africa #lobitocorridor #voaafrica #reels #explorepage