Skip to main content
Skip to main content

Mwanamuziki wa Kikorea anayeimba Nyimbo za Zuchu kwa Kiswahili, kabla ya kufika Tanzania

  • | BBC Swahili
    2,592 views
    Duration: 2:12
    Anafahamika kwa jina la @sillymusic__ , ni mtengeneza maudhui na mwanamuziki mwenye asili ya Kikorea ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kwenye mtandao wa TikTok, akiwa na zaidi ya wafuasi milioni 2. Kilichowashangaza wengi ni kipaji chake cha kipekee cha kuimba nyimbo za wasanii wa Afrika, haswa zile za mwanamuziki maarufu wa Tanzania, @officialzuchu kwa lugha ya Kiswahili Je, anajua maana ya kile anachokiimba kwenye nyimbo hizo? Na safari yake ya muziki ilianzia wapi hadi kufikia kiwango cha kupendwa barani Afrika? Mwandishi wa BBC, @FrankMavura na @elizabethkazibure wamekutana naye visiwani Zanzibar na kutuandalia taarifa ifuatayo. - - #bbcswahili #tanzania #bongofleva #koreanmusic