Skip to main content
Skip to main content

Baraza la magavana lakutana kujadili matamshi ya Mutahi Kahiga

  • | Citizen TV
    62,812 views
    Duration: 3:59
    Baraza la magavana leo limekutana kujadili matamshi ya Gavana wa kaunti ya Nyeri Mutahi Kahiga ya kukejeli kifo cha kinara wa ODM na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. Inatarajiwa kuwa baraza hilo limechukua hatua kali dhidi ya Gavana Kahiga ikiwa ni pamoja na kumshurutisha kuomba msamaha. Baraza hilo la Magavana limejitenga na matamshi ya Kahiga kumhusu Raila.