Mchuano wa Sakaja Super Cup | Githurai All stars yashindwa kwa penalti na Luck Summer All stars

  • | NTV Video
    40 views

    Mabingwa watetezi wa kombe la sakaja super cup githurai all stars walinusurika na hofu ya dakika za mwisho baada ya bao la kujifunga katika dakika za mwisho dhidhi ya luck summer all stars, na kusukuma mechi hiyo kwa mikwaju ya penalti katika eneo la nairobi mashariki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya