- 52 viewsTimu ya FactSpace West Africa Kwaku Asante hayuko peke yake katika vita hivi. Rabiu Alhassan ni mwandishi wa habari anayefanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Yeye ndiye kiongozi wa timu ya FactSpace West Africa, shirika la kuhakiki ukweli linalofanya kazi kukabiliana na habari potofu kadhalika propaganda kote Afrika Magharibi. GhanaFact ni sehemu ya shirika hilo. Alhassan anasema kwake, kupambana na habari potofu ni zaidi ya kazi. Anajua madhara ya habari mbaya kwa watu wa kawaida, mataifa na kanda nzima ya Afrika Magharibi. Vyumba vya Habari Kuunda Madawati Kuhakiki Habari Rabiu Alhassan, kiongozi wa timu ya Fact Space West Africa aeleza: “Hatuko mbali sana kuwaona watu wenye nia mbaya wakifuatilia kile kinachofanyika nchini, kubaini makosa makubwa na kujaribu kutumia hilo. Sababu tunajaribu kutumia uwezo wetu mdogo kuleta matokeo mazuri kwa kusaidia vyumba vya habari katika kuunda madawati yao ya kuhakiki ukweli, kwa kuwasaidia wanahabari kuwa na ujuzi wa kutosha kutambua habari potofu na kukabiliana na kampeni za taarifa potofu.” Alhassan na timu yake wanategemea vifaa kadhaa vya kidijitali kuwasaidia katika kazi yao. Kifaa marufu kati ya hivyo ni kutafuta baadhi ya picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Ana matumaini kwamba kuhakiki ukweli inaweza kupunguza taarifa potofu. Vijana Wengi Mitandaoni Rabiu Alhassan, kiongozi wa timu ya FactSpace West Africa: “Tunaona vijana wengi zaidi mtandaoni, na kuna hamu zaidi ya wadau mbalimbali kuweza kudhibiti simulizi, kama tulivyoona kwenye vyombo vya habari vya kawaida pia mtandaoni. Kwa hivyo, kazi yetu imekuwa muhimu sana. Kuna matumaini makubwa katika siku zijazo, na tuna imani kwamba tutachangia kwa uwezo wetu mdogo kukabiliana na matatizo ya habari, sio tu nchini Ghana bali katika bara zima.” Alhassan sasa anawashauri vijana wanaochunguza ukweli kujiunga na timu yake. Timu ya FactSpace West Africa Gifty Tracy Aminu, kutoka timu ya FactSpace West Africa: “Nimefurahishwa na ukweli kwamba ninaweza kuwaambia wananchi zaidi ya kile ambacho mtu amesema au zaidi ya kile kilichoripotiwa, nimeweza kuchunguza kwa undani kujua kwamba jambo hilo ni ukweli au la.” #ghana #factcheck #factchecking #voa #uchunguzi #uhakiki #habaripotofu #accra #waandishi #rabiualhassan #factspacewestafrica #factcheckghana #KwakuAsante
Timu za Fact-Check Ghana na FactSpace West Afrika Zakabiliana na propaganda
- - Duniani Leo ››
- 24 Dec 2024 - Public health practitioners want the government to meet nine demands or they down their tools. Kenya Environmental Health and Public Health Practitioners Union is seeking proper recognition of its members, and even increased budgetary allocation,…
- 24 Dec 2024 - Gaps between Israel and Hamas over a possible Gaza ceasefire have narrowed, according to Israeli and Palestinian officials' remarks on Monday, though crucial differences have yet to be resolved.
- 24 Dec 2024 - Germany searched on Monday for answers on possible security lapses after a man drove his car into a Christmas market, killing at least five people and casting a renewed spotlight on security and immigration ahead of a snap election.
- 24 Dec 2024 - Syrian church leaders are advising Christians to scale back Christmas celebrations this year, despite assurances from the Islamists who have just taken power that they are free to practise their religion.
- 24 Dec 2024 - Developing states and labour activists are looking forward to next year’s United Nations Climate Conference (COP30) in Brazil, for the realisation of a just transition from fossil fuels. Disappointed at the setback early this month during COP29 in Baku…
- 24 Dec 2024 - But the impact went far beyond giveaways. The campaign invigorated local economies, sourcing livestock and poultry directly from local traders and ensuring broad economic benefits for communities. Markets buzzed with activity during roadshow stops,…
- 24 Dec 2024 - U.S. President Joe Biden on Monday commuted the sentences for 37 out of 40 federal inmates on death row, converting them to life in prison without parole before he hands over power to President-elect Donald Trump on Jan. 20.
- 24 Dec 2024 - Citizen TV spoke to some of the victims whose lives were irreversibly changed by the protests that resulted in at least 60 deaths and 26 disappearances.
- 24 Dec 2024 - A day after Citizen TV highlighted the abduction of Peter Muteti for allegedly posting an AI generated picture offensive to President William Ruto another family in Embu has come out demanding for the release of their son, Billy Mwangi, who was…
- 24 Dec 2024 - Speaking to Citizen TV in an exclusive Monday interview, Karua sensationally claimed that the Head of State is running a covert "killer gang" made up of foreigners and select Kenyans drawn from the military and outside the police force.