- 215 viewsRaia wa Cameroon watapiga kura mwaka ujao kumchagua rais kwa muhula mwingine wa miaka saba. Chaguzi za awali katika taifa hili la Afrika ya Kati zilikumbwa na taarifa potofu ambazo zilichochea machafuko kwenye mitandao ya kijamii. Sasa, waandishi wa habari na wataalamu wa vyombo vya habari wanasema wanachukua hatua za mapema ili kuzuia kurudiwa kwa masuala haya. Amboh Vanessalizzy, mtayarishaji wa Maudhui huko Buea, alikuwa akipitia mitandao ya kijamii wakati habari zilipoibuka kuwa rais wa Cameroon, Paul Biya, amefariki. Bila njia yoyote ya uthibitisho, alisubiri mawasiliano rasmi hadi serikali ilipotoa taarifa ya kukanusha uvumi wa kifo cha Rais kama ndoto tu Amboh Vanessalizzy, Mtengenezaji Maudhui asema:Kwa kadiri tunavyotaka mabadiliko, simuombei kifo mtu yeyote. Taarifa potofu kama zile zinazomhusu rais zinaweza kuwa za mara kwa mara, hasa wakati wananchi wa Cameroon wakielekea kwenye uchaguzi mwaka ujao. Batata Boris-Kaloff]], Meneja wa Kituo cha CBS Buea aeleza: "Tayari ninajitayarisha kukabiliana na taarifa potofu za uchaguzi ambazo zinaweza kuja. Uwe na uhakika, huko Buea, kuna wanasiasa na kutakuwa na mijadala kuhusu miradi hapa na pale." Ripoti ya Njodzeka Danhatu wa VOA. #cameroon #waandishi #habaripotofu #chaguzi #ghasia #voaswahili
Waandishi wanamatumaini ya kukabiliana na habari potofu
- 25 Dec 2024 - Rescue operation is underway following the collapse of a storey building under construction in Rongo town, Migori County.
- 25 Dec 2024 - The Palestinian militant group Hamas and Israel traded blame on Wednesday over their failure to conclude a ceasefire agreement despite progress reported by both sides in past days.
- 25 Dec 2024 - Dec 25 – United Nations special rapporteurs have voiced grave concern over escalating militant attacks on girls’ schools in Pakistan, urging the government to take immediate action to safeguard the rights of schoolgirls to education. In a joint letter…
- 25 Dec 2024 - Pope Francis has called for negotiations between Ukraine and Russia to end the war triggered by Russia's invasion of Ukraine in 2022. In his traditional Christmas Day address, the Pope said "boldne…
- 25 Dec 2024 - "May the sound of arms be silenced in war-torn Ukraine," and beyond.
- 25 Dec 2024 - "This thing must end completely...we don't want such primitive things to happen in our country."
- 25 Dec 2024 - Katani Level 4 Hospital CEO says this will help reduce infections since couples will be extra careful.
- 25 Dec 2024 - Busia Senator and presidential hopeful Okiya Omtatah has denied claims that he played a role in the alleged abduction of popular X satirist and cartoonist Kibet Bull.
- 25 Dec 2024 - Every year, the MP feeds hundreds of street families to celebrate the day.
- 25 Dec 2024 - Former Prime Minister Raila Odinga has called for the immediate halting of the ongoing mysterious abductions in the country.