Wabunifu wanaotengeneza miti maarufu ya Krismasi wakumbatia miundo ya kutunza mazingira

  • | Citizen TV
    324 views

    Kwa kawaida, miti maarufu ya Krismasi hununuliwa kama mapambo ya kuashiria msimu huu muhimu kwa wakristo nchini. Miti mingi imekuwa ikitumia mapambo ya plastiki ila sasa, ubunifu zaidi umeanza kujitokeza ambapo sasa ulimbwende huu umeelekezwa kwa miundo ya kutunza mazingira. Agnes Oloo ametuandalia taarifa ifuatayo