Wakaazi wa Nairobi washindwa kutumia vivukio barabarani kutokana na uchafu na ukosefu wa usalama

  • | Citizen TV
    15,333 views

    Uchafu Na Ukosefu Wa Usalama Kwenye Vivukio Vya Miguu Jijini Nairobi Vimewafanya Abiria Wanaotembea Kuhatarisha Maisha Yao Kwa Kukimbia Barabarani Ili Kuvuka. Wakaazi Wengi Wa Jiji La Nairobi Wanahofia Kutumia Vivukio Hivyo Ambavyo Baadhi Vimegeuzwa Kuwa Vyoo Au Makazi Ya Familia Za Mitaani, Kwenye Hali Hii Iliyochangia Vifo Na Ajali Nyingi Za Barabarani Kila Mwaka.