Pazia la kung'aa

  • | NTV Video
    693 views

    Uchimbaji Madini kwa muda mrefu umehusishwa na "uchimbaji haramu," na chapa inayosisitiza changamoto kubwa zinazozunguka shughuli hii. Aina hii ya uchimbaji madini inazua wasiwasi mkubwa duniani kote, hasa kuhusu afya ya binadamu kutokana na kuenea kwa matumizi ya zebaki yaani Mercury. Zebaki na chuma nzito zinajulikana kwa athari zake za sumu ambayo inahusishwa na saratani ila wachimbaji hawana njia nyingine ya kupata fedha isipokuwa hiyo inayohatarisha maisha yao Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya