Je, unadhani serikali yako inaweza kukusaidia kupata mwenza?

  • | BBC Swahili
    489 views
    💍 Vijana nchini Korea Kusini wamekuwa wakijiandikisha kwa wingi kwenye mashirika yanayokutanisha watu kwa ajili ya kupata wenza wa kufunga ndoa. Na wengine uhudhuria matukio maalumu yanayoandaliwa na serikali ili kusaidia watu kupata wenza. Lengo la mpango huu wa serikali ni kuongeza viwango vya ndoa na uzazi ambavyo vipo chini sana Korea Kusini. Je vigezo vipi hutumika? Tazama #bbcswahili #KoreaKusini #Kuchumbiana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw