Mwanamke wa umri wa makamo achomwa Maragua

  • | KBC Video
    31 views

    MWANAMKE ACHOMWA MURANG'A

    Mwanamke wa umri wa makamo katika kijiji cha Maragua Ridge achomwa

    Alichomwa na mwanaume anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye

    Mwanaume huyo alimmwagilia mafuta taa na kummchoma kabla ya kutoroka

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News