Wanafunzi Wengi Washerehekea Kwa Kufuzu Kutia Fora Katika Mtihani Wa KCSE 2024

  • | TV 47
    68 views

    Wanafunzi Wengi Washerehekea Kwa Kufuzu Kutia Fora Katika Mtihani Wa KCSE 2024

    Furaha riborobo imezagaa katika maeneo mbalimali nchini baada ya wanafunzi kuandikisha matokeo mazuri katika mtihani wa KCSE wa mwaka jana, na kama anayoarifu Ruga Eval, baadhi ya wanafunzi waliopata alama ya A na A- wamedokeza siri ya kupita mitihani hiyo ni kutia bidii na maombi kwa maulana.

    #UpeoWaTV47 #KCSE2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __