Udanganyifu kwenye KCSE 2024 | Matokeo ya watahiniwa 840 yamefutiliwa mbali

  • | Citizen TV
    1,133 views

    Huku mbwembwe na sherehe zikiendelea kote nchini baada ya matokeo ya mtihani wa KCSE 2024 kutangazwa, wanafunzi hawa kutoka shule tofauti nchini ndio waliotia fora zaidi kwa kupata alama ya 'A'.