Familia moja Kisumu inafurahia msichana wao kupata A

  • | Citizen TV
    345 views

    Familia moja kaunti ya Kisumu imejawa na furaha baada ya mwana wao kupata alama ya A katika mtihani wa KCSE. Angel Gakenia alikuwa mwanafunzi bora zaidi kwenye mtihani wa KCPE mwaka 2020 na mwaka huu, alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora nchini.