Pacha wawili wabobea kwa alama sawa

  • | Citizen TV
    1,970 views

    Mapacha wawili ambao walifanya mtihani wa KSCE katika shule ya wavulana ya Alliance wamebobea tena kwa mara ya pili baada ya kupata alama sawa. Katika mtihani uliotangazwa hii leo, Wayne na nduguye Will wamepata alama ya 'A' ya pointi sawa katika mtihani wao